Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Ne-yo na Diamond Platnumz kwenye jukwaa moja.
29 March 2016

Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Marekani Ne-yo athibisha ujio wake nchini Tanzania katika tamasha kubwa la Jembeka Festival litakalofanyika jijini Mwanza mwezi Mei mwaka huu.Ne-Yo performs during the Grammy Nominations Concert in Nashville, TennesseeKupitia ukurasa wao Jembe ni Jembe ambao ndio haswa watayarishaji wa shoo hiyo wameandika hivi “Ne-yo &Dimond Platnumz live at the Grand Jembeka Festival,usikose show hii ya kihistoria mwanza 21/05/2016 kwa Tsh 10,000”

Katika Shoo hiyo atakuwepo pia Diamond Platnumz ambapo nae kwa sasa yupo katika ‘tour’ yake ulaya. Kumbuka wawili hao wako katika matayarisho ya ngoma yao ambapo Diamond amemshirikisha Ne-yo, kwamujibu wa Diamond Platnumz alisema video yake itafanyikia ulaya na Afrika.
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00


Leave your comment