TANZANIA: Vanessa atoa video ya ‘Niroge’

 

Nyimbo ya ‘Niroge’ imetoka leo na kusikika katika mitandao mingi hapa nchini. Vanessa hakutaka siku ya leo ipite bila ya kuiachia video yake. Sasa video imetoka na imetengenezwa na Nahreel kutoka The Industry, wakati video ikiwa imeongozwa na Justin Campos kutokea Gorilla Films.

 

Unaweza kuitazama video hii hapa:

 

 

Leave your comment