TANZANIA:Mfahamu muandishi wa nyimbo ya ‘Niroge’ ya Vanessa
24 March 2016

Vanessa Mdee ni mwanamuziki anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki nchini. Nyimbo zake zimekua za tofauti sana ukilinganisha na wasanii wengine wa hapa nchini.

Vanessa amemzungumzia muandishi wa nyimbo zake kama ‘Hawajui’, ‘Siri’ pamoja na huu uliotoka leo hii March 24, ‘Niroge’ kwa kumpost msanii mwenzake Barnaba Classic kupitia mtandao wa Instagram na kuandika: “Finally got my #Afrima trophy for #AfroPop song of the year 2015 #Hawajui. Huwezi amini imefika nikiwa studio na @barnabaclassic aliyeandika wimbo wa #Hawaju and guess what? Yeye ni Co-Writer wa #Niroge out tomorrow. I share this with you my friend and ofcourse the baddest @nahreel. Here's to many more great music making years




Leave your comment