Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: AliKiba abadili uongozi.
24 March 2016

Kupitia Magic Fm jana Alikiba alisema kuwa amebadili uongozi wake na baadhi ya watu hawatokuwepo kabisa. Ukitaka kujua nimebadili ngoja uone kwa sasa mambo yatakavyokuwa fans wangu wanataka bampa to bampa sasa nitakuwa natoa ngoma shabiki zangu wanavyotaka” alisema Kiba. Vugu vugu la kubadili uongozi lilianza kwa mashabiki ambao walisema kuwa uongozi huo unamchelewesha vitu vingi ikiwemo ku-promote kazi zake.
Pia Kiba amesema amefurahishwa na ujio wa Lady Jaydee katika uongozi mpya ambao pia wata simamimiwa na rockstar4000, kiba amesema atafaidika sana na Jay de haswa kutokana na ukongwe wa msanii huyo.
Chanzo: mtembezi.com
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00


Leave your comment