TANZANIA: Video- ‘African Drum’ by Kleyah
24 March 2016

Muziki wa bongo fleva umezidi kukua kwa kasi, wasanii wengi wanaibuka na kuleta sura mpya katika tasnia hii ya muziki nchini. Kleyah ni moja kati ya wasanii wanaokuja kwa kasi nchini, ambaye alikua Marekani kimasomo na sasa ameamua kufanya muziki ambao unaamika kuwa unalipa. Video hii imetengezwa na Justin Campos kutoka nchini Afrika Kusini. Video hii imetengenezwa kwa kiwango cha juu chenye ubora unatumika sasa katika soko la muziki duniani, lakini bado ikiwa na maudhui ya kiafrika. Kleyah ameshafanya nyimbo kama ‘Mzobe mzobe’, ‘Lover’s eyes’ pamoja na ‘Don’t slay me’.
Unaweza kuitazama video hii hapa:




Leave your comment