TANZANIA: Vanessa mdee aja na ‘Niroge’

 

 

Msanii wa muziki ya bongo fleva nchini Tanzania, Vanessa Mdee anatarajia kutoa kitu kipya kiitwacho ‘Niroge’.

 

 

Wimbo huu umetoka leo hii, na umetayarishwa na Nahreel kutoka kwenye studio za The Industry. Nyimbo hii inapatikana kwenye Albamu yake ya kwanza iitwayo, “Money Monday”.

 

 

Leave your comment