Fortune classic ft sajna

Idea ya ngoma hii ambayo imefanywa na Fortune classic akiwa kamshirikisha Sajna ,, ilipatikana kimzaa sana, ilikuwa ni pale tu wakati hawa wawili wakiwa katika matani . Ndipo wakaona ni vema kutengeneza ngoma na kuingia studio

Leave your comment