TANZANIA: Diamond amfungulia milango Akothee

 

Baada ya Mwanadada Akothee kutoka Kenya kupata nafasi ya kumshirikisha Diamond Platnumz kwenye ngoma ya “SWEET LOVE” na kufanya vizuri ndani ya muda mfupi kwenye ‘MEDIA’. Jambo ambalo limemfungilia milango mwadada huyo kuanza kupata kolabo za wasanii kutoka nje ya Kenya.

Mwanadada Akothee wa Miondoko ya RNB wiki hii (jana) ametambulisha kibao kipya cha “Give it To Me”  akimshirikisha nguli mwingine kutoka Afrika magharibi (Nigeria) Mr Flavour

 

 

 

Chanzo: Mtembezi.com

 

Leave your comment