TANZANIA: Video- ‘Sharifa’ by Witness na Ochu

 

 

Msanii kutoka kwenye shindano la CocaCola Popstar, na alikuwa ni mmoja kati ya wasanii waliounda Kundi la Wakilisha, Witness pamoja na Ochu Sheggy wametoa kibao kipya kiitwacho Sharifa. Nyimbo hii imetengenezwa maalum kupiga vita mimba za utotoni. Witness na Ochu ni wasanii wanaofanya vizuri katika tasnia ya Sanaa ya muziki wa nchini Tanzania, mbali na kibao cha Sharifa, wasanii hao pia wametoa nyimbo nyingine kama ‘Zagazaga’, ‘Think about it’ na ‘Buku Jero’.  Msanii wa Hip Hop, Witness na mpenzi wake Ochu Sheggy kwa pamoja wanajiita OCHUNESS.

 

Unaweza kuitazama video hii hapa:

 

 

 

Leave your comment