TANZANIA: "Kupima DNA ni kutokujiamini" - Diamond
18 March 2016

Mkali wa muziki wa Bongo fleva hapa nchini, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz, amekanusha tetesi zakwenda kumpima mtoto wake Latiffah 'Tiffah' vinasaba 'DNA' ili kupata uthibitisho wa kuwanimwanaweausio mwanae.

Diamond amezungumza hayo baada ya kufanyiwa mahojiano na eNewz kuhusiana na tetesi hizo ambapo alikanusha suala hilo, Diamond Anasema kumpima mtoto wako DNA ni kutojiamini na yeye hawezi kufanya hivyo, Diamond anasema alianza kumjua Tiffah akiwa tumboni. Pia Diamond ameweka wazi kuwa picha inayomuonyesha akilia ni ya show yake ya Dar Live.
Chanzo: Udakuspecial.com




Leave your comment