TANZANIA: Jua sababu zilizomfanya Fid Q kushoot video nje.
18 March 2016

Baada ya kupambana kwenye muziki kwa miaka mingi “Walk It Off” imemtambulisha vizuri Fareed Kubanda aka Fid Q kwenye anga za kimataifa. Akiongea kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds Tv, Fid Q amesema, “Nafanya muziki kwa miaka 16 sikuwahi kuwa na video bora kama “Walk It Off”. Nilienda kufanya video Afrika Kusini ili nipate kitu kizuri na tofauti.Unaweza kuona video hiyo ndiyo video bora kuliko zote nilizozifanya.
Unaweza kutaza video hii hapa:
Chanzo: Bongo5.com




Leave your comment