TANZANIA:Video yangu na vitu vingine vyote amegharamia Madam Ritha - Kayumba

 

Pamoja na kushinda shilingi milioni 50, kwenye shindano la Bongo Star Search Kayumba hajatoa hata senti kugharamia video ya wimbo wake wa Katoto.

Kayumba akiwa na Ritha Paulsen.

 

Video hiyo ilifanyika nchini Afrika Kusini na kuongozwa na Justin Campos. “Video yote mpaka tumeenda Soth Afrika mpaka tumerudi, tumemaliza video, vitu vyote kasimamia Madam Ritha”, amesema Kayumba. “Millioni 50 toa kabisa yeye tu mwenyewe alitoa ahadi kuwa mshindi atamsaidia kutoa ngoma kali na video kali, spo shout out sana kwa Madam Ritha, nakupenda sana”.

 

Chanzo: Bongo5.com

 

Leave your comment