TANZANIA: Bila Msami nisingkuwa hapa leo – Vanessa.
17 March 2016

Vanesa ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram akimshukuru Msami maarufu kama Msami Baby kwa mchango wake wa kumfundisha kucheza, na kumtambulisha kwa wasanii wengine maarufu wa kucheza, huku akifikiria kufanya naye kolabo.

Msami

Vanessa akiwa na Msami
“Nilivyoanzaga mziki nilimfuata Msamibaby nikamuomba msaada wakunifundisha au kunitrain kumiliki jukwaa. Alinitrain pamoja na kunitambulisha kwa madansa wakali kina @kcriseky123 na @ashbeib1 nisingekuwa hapa bila yeye. Thank you soo much bro. God bless you. Sijui tufanye ngoma flani hivi ya kucheeeezaaaa” aliandika Vanesa.





Leave your comment