TANZANIA: Clicker ndani ya ‘Huu Mwaka’
16 March 2016

Muziki wa Tanzania unazidi kukua siku hadi siku, vijana wengi wamekua wamejikita katika tasnia ya muziki kwa kudhumuni la kutoka kimaisha. Mifano mingi tumeiona kwa wasanii kama Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, AY, MwanaFa, Navy Kenzo, Vanessa Mdee na wengineo wengi.
Kundi la Millan Dollar Boys “MDB” limemtoa kijana mpya mwenye kipaji cha kurap, kuigiza na ni mtunzi wa nyimbo, anaitwa Clicker. Msanii huyo ametoa kibao chake kiitwacho ‘Huu Mwaka’ alichomshirikisha Mr Blue. Ngoma hiyo imetayarisha na Rush Don.
Unaweza kuisikiliza nyimbo hii mpya hapa:




Leave your comment