TANZANIA: Mike T ataja changamoto za kitambi chake
15 March 2016

Mkongwe wa michano kwenye tasnia ya muziki nchini maarufu kama Mike Tee amesema licha ya kubadilika sana siku hizi katika Muziki anaofanya lakini mwili wake unampa changamoto hasa kwenye kucheza awapo jukwaani tofauti na ilivyokuwa zamani.
Katika mahojiano yake na kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio Mike Tee amesema moja ya vitu anavyopambana navyo kwasasa ni kitambi chake ikiwepo kufanya mazoezi ili kuepuka kuishiwa pumzi awapo jukwaani.
Chanzo: Mtembezi.com




Leave your comment