TANZANIA: Naj athibitisha uhusiano wake na Baraka Da Price.
15 March 2016

Naj hataki kuficha tena penzi lake na msanii wa muziki wa bongo fleva Baraka Da Prince. Uhusiano huo hauna muda mrefu tangu umeanza unaonekana kukolea siku hadi siku. Naj amepost Instagram ikionyesha Kichwa cha Baraka huku mkono wake wenye kucha zenye rangi ya njano zikishika siikio la Baraka.

Ni hivi karibuni tu pia Baraka alidai amepata mpenzi kuwa ndiye aliyeushika moyo wake. Japo picha ya msichana aliyekuwa kwenye picha yake haikuonesha sura yake, ila msuko uiokuwa nao ulionyesha kuwa ni wa Naj.
Siku mbili zilizopita Naj alipost picha ya Baraka Da Prince kwenye Instagram na kuandika “Happy Birthday chizi langiu mimi, nashukuru mama kwa kukuleta duniani”.


Na baadae Baraka alijibu post hiyo.





Leave your comment