TANZANIA: Dog o Janja atoa video ya ‘My Life’
14 March 2016

Baada ya kimya cha muda mrefu Dogo Janja kutoka kundi la Tip Top Connection 2016 aliachia hit single yake ya ‘My Life’, ngoma hiyo Dogo Janja amebadili ni tofauti na tulivyomzoea katika ngoma zake za nyuma. Leo hii March 14 Dogo Janja kaachia rasmi video ya hit Single ya ‘My Life’ .
Unaweza kuitazama video hii hapa:




Leave your comment