TANZANIA: Ushaniroga – Makomando
14 March 2016

Wasanii wa kundi la makomando wametoa ngoma mpya iitwayo ‘Ushaniroga’. Makomandoo ni wanamuziki waliotokea katika jumba la vipaji liitwalo THT (Tanzania House of Talent).

Fredy Wayne (Kushoto) akiwa na Mucky
Na niwanamuziki walitambulika kwa kuwa na kipaji kikubwa cha kuimba na kucheza. Makomandoo wametoa nyimbo kama ‘Kibaba’, ‘Kibega’, ‘Mama wee’ waliomshirikisha msanii Juma Nature na nyinginezo nyingi. Kundi hilo linaundwa na wasanii wawili nao ni Mucky pamoja na Fred Wayne.
Unaweza kusikiliza nyimbo hii hapa:




Leave your comment