TANZANIA: Watanzania wazidi kutamba kwenye chati za Trace

 

Hakuna asiependa kujua kwenye bara hili kubwa za Afrika ni nani anaetamba zaidi kupitia kituo cha TV cha TRACE Urban ambacho kimekua kikitajwa kwa ubora wa muziki unaopigwa na Watazamaji wake ambao wengi wanatazama kwa mfumo wa kulipia, kuridhika na burudani yenyewe.

Video ya Navy Kenzo ‘Kamatia Chini’ imeshika nafasi ya 9 wakati ‘Zigo’ ya AY aliyoshirikiana na Diamond Platnumz ikishika nafasi ya 4 katika orodha nzima ya video kumi bora Afrika.

 

Unaweza ukatazama video zote kumi bora hapa:

1. Korede Bello ft. Tiwa Savage – Romantic

 

2. Wizkid – Final
 
 
 
3.Reekado Banks – Oluwa Ni
 
 
 
4. AY feat. Diamond Platnumz – Zigo Remix (Tanzania)
 
 
 
5. YCEE – OMO ALHAJI
 
 
 
6. OSINACHI (Remix) – Humblesmith ft. Davido
 
 
 
7. Tiwa Savage ft. Olamide – Standing Ovation
 
 
 
8. Stonebwoy – Sheekena ft. R2bees
 
 
 
9. Navy Kenzo – Kamatia (Tanzania)
 
 
 
10. The Money – Davido ft. Olamide
 
 
 
 
Chanzo: Millardayo.com

Leave your comment