TANZANIA: Lady Jay Dee aamua kutulia na Mpenzi wake mpya.

 

Mwanamuziki mkongwe katika tasnia ya muziki wa nchini Tanzania, Judith Wambura ameamua kutulia na mpenzi wake mpya mara baada ya msanii huyo kutengana na aliyekuwaa mume wake Gardner G Habash. Katika mazungumzo na mtu wake wa karibu kupitia gazeti la Risasi Nchini amesema kuwa Jay Dee kwa sasa ameamua kutulia na mpenzi wake mpya. "Jay Dee amepata mpenzi mpya muda kidogo, na kwa sasa yuko huru na ndoa inaweza kuwa mwaka huu", alisema tu wake wa karibu. Msanii huyo aliashana na aliyekuwa mume wake mwaka 2014.

Leave your comment