TANZANIA: Mrisho Mpoto atoa video mpya

 

Msanii wa nyimbo za asili nchini, Misho mpoto ametoa nyimbo mpya iliyoambatana na video yake iitwayo ‘Sizonje’. Katika nyimbo msanii Mrisho Mpoto ameshirikiana na Banana Zahir Zahor ambaye anafanya vizuri katika nyimbo aina ya zouk. Video hiyo imeandaliwa na Wanene Films chini ya uongozwaji wa Hascana.

Unaweza kutazama video hii hapa:

Leave your comment