TANZANIA: Kayumba atoa video ya ‘Katoto’
7 March 2016

Msanii chipukizi katika tasnia ya muziki Tanzania ambaye alitoka kupitia shindano lililoandaliwa na Benchmark ikiongozwa na Ritha Paulsen Kayumba Juma ametoa video ya nyimbo yake. Mshindi huyo wa Bongo Star Search ‘BSS’ 2015 Kayumba Juma ametoa video ya wimbo wake uitwao Katoto. Video hiyo imeongozwa na Justin Campos na kutayarishwa na Shirko.
Unaweza kutazama video hii hapa:




Leave your comment