TANZANIA: “Siwezi kumfuata Said Fella, akitaka aje” - Juma Nature

 

Msanii wa muziki wa bongofleva Juma Nature amesikika akisema kuwa hawezi kumtafuta Saidi Fella ambaye alikua Manger wake kipindi cha nyuma, ili afanye nae kazi kama anaweza amtafute yeye.

Said Fella 'Mkubwa Fella'

 

 

“Mimi siwezi kwejnda kumuomba Fella nifanye nae kazi, ila kama yeye anataka kufanya biashara aje tukae chini tuandikishiane mkataba unaoeleweka hapo sawa lakini hivihivi sina mpango wa kwenda kwake, maana najiamini na mambo yankwenda vizuri” alisema Juma Nature. Kwa upande mwingine Juma Nature amesema kuwa amekwisha rekodi nyimbo yake na Shetta, huku akidai kwamba video itakua habari ya jiji.

 

Leave your comment