TANZANIA: ‘Make me sing’ yafanya maajabu tena

 

Nyimbo ya ‘make me sing’ inayoendelea kutamba ndani na nje ya mipaka ya Afrika imezidi kujidhihirisha dhahiri kuwa inabamba kote nchi. Baada ya hivi karibuni kutimiza siku kumi ndani ya mtandao wa YouTube, na pia kuwepo katika list za Trace, nchini Tanzania nayo haikubaki nyuma. Kwenye list za nyimbo kali 20 zinazotolewa na Cosota imeshika namba moja. Nyimbo hiyo imeimbwa na A.K.A akishirikiana Diamond Platnumz imetengenezwa na Tudd Thomas na kuongozwa na Nicky.

 

 

Leave your comment