TANZANIA: Wakina baba mastaa saba Afrika Mashariki wanao show love kwa watoto wao
4 March 2016
Kupitia mtandao wa Mseto East Africa inayoeleza taarifa mbalimbali za wasanii wanaotamba Afrika Mashariki ikijumuisha Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi wamebtathmini nakutoa orodha ya mastaa wa muziki wanaoonyesha upendo wao wa dhati kwa watoto wao. Orodha hiyo ya mastaa hao 7 imejumuisha Diamond Platnumz wa Tanzania, Alikiba wa Tanzania, Nameless kutoka Kenya, King Kaka kutoka Kenya, Dj Mo kutoka Kenya, Kenrazy kutoka Kenya, Octopizzo kutoka Kenya.

Diamond Platnumz: Jina halisi Naseeb Abdul akiwa na mtoto wake Latifa a.k.a Princess Tiffah

Alikiba akiwa na watoto wake Sameer, Amiya na Chammy

Nameless akiwa na mtoto wake Tumiso

King Kaka akiwa na mtoto wake

Sammy Muraya 'Dj Mo' akiwa na mtoto wake Ladasha

Kenrazy akiwa na mtoto wake, anayefwata nyayo za baba yake

Octopizzo akiwa na mtoto wake.




Leave your comment