BIZNEA COMING UP WITH A NEW MEGA HIT

Mwashoni mwa mwezi wa tatu BIZNEA anakuja na nyimbo mpya inayoitwa MALI YA MUNGU akiwa kamshirikisha legend wa kike kutoka daresalaam aitwe sarah kaisi "SHAA". .. Nyimbo imetengenezwa na SAPPY MUSIC LAB chini ya producer wake SAPPY....... ! STAY TUNED

Leave your comment