TANZANIA: Vanessa kumuingiza Alaine kwenye Money Monday

Msanii wa nyimbo za Bongo Fleva Vanessa Mdee anampango wa kufanya muziki na msanii kutoka Jamica Alaine ili kukamilisha albamu yake ya kwanza ya ‘Money Monday’.

Vanessa katika mazungumzo amedai kuwa yeye na msanii huyo wa Jamaica Alaine watafanya kazi kwa pamoja ili kukamilisha albamu yake itakayotoka mwaka huu. Amesema  tangu waonane kwenye Fiesta mwaka 2013, wamekuwa marafiki na wanawasiliana kama mtu na dada yake.

Alaine

 

Vanessa kwa upande mwingine anasema kuikailisha albamu hiyo ni kitu kinachompeleka race sana. “ Yaani acha asikumbie mtu, kabla hujarelease albamu lazima ukonde kidogo. And am not rushing it sometimes Nahreel ananiambia ‘take days off stop thinking bout the process, just do it.’ It’s true he’s right”.

 

Leave your comment