TANZANIA: “Simshauri mpenzi wangu kufanya muziki” – Young Killer
3 March 2016

Msanii wa miondoko ya hip hop amehojiwa katika studio za Bongo 5 na kusema kuwa hamshauri mpenzi wake anayetambulika kwa jina la Halimaty a.k.a ‘Miss Hip Hop”.

Katika mahojiano hayo Young Killer alisema kuwa mpenzi wake hawezi kuchana na ndio maana ameshindwa kumuingiza kwenye muziki.
“Sijawahi kufikia kumuingiza mpenzi wangu kwenye muziki” alisema Young Killer.
Aliongez na kusema “Kwanza hawezi kuchana, kwahiyo kitu kama hicho haiwezekani lakini najua anapenda sna muziki ndio maana unaniona mara nyingi niko nae studio”.




Leave your comment