Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: “Wasanii wenzangu msiogope kutoa albamu” - Stamina
3 March 2016

Msanii wa hip hop anayeitambulisha vyema mji usiokuwa na bahari Morogoro, Stamina mesema kuwa hakutoa albamu ya Mt Uluguru ili awe tajiri. Stamina ambaye pia ameshauri wasanii wenzake wasiwe waoga wa kutoa albamu. Alitamka hayo kwa kusema,”Kusema ukweli mimi mwenyewe ni shuhuda kwenye hilo”.
Stamina aliongeza kwa kusema kuwa,” Yaani wasiogope albamu zinauza japokuwa mimi sikuingiza yangu sokoni ili iwe tajiri, nilitoa ili nijenge heshima yangu. Ili msanii uonekane mkubwa unatakiwa kuwa na albamu”. Mpka sasa Stamina ameshauza nakala 850 za albamu ya Mt. Uluguru.
Weekly Top 10 songs

omelette4:28
ONLY YOU JESUS5:44
Melody Ft Tunche the best3:20
Kupenda nishapenda zaani3:12
Nigina2:27
R.I.P Manu4:52
CHAMPION GAL3:00
Zabike2:50
Haipo Sawa (Feat. Don breezy)4:13
Wano Wano2:15
Top stories
- OXEN MUSIC
29 July
- Mytee boy - SURVIVE
28 July
- Abakuchinsali
29 July


Leave your comment