TANZANIA: Miss Rizzy ndani ya ‘Nanana’
2 March 2016

Msanii Rose Malley 'Miss Rizzy'
Msanii wa muziki wa bongo fleva anayejulikana kwa jina la Rose Malley ama kwa jina la kisanii ‘Miss Rizzy’ ametoa video ya wimbo wake uitwao ‘Nanana’. Nyimbo hiyo imetayarishwa na Bob Manecky na kuongozwa na Ivan. Msanii huyo alipost katika mtandao wa Instagram na kuielezea kidogo video yake hiyo kwa kuandika, “Have you ever loved somebody so much that it made you cry? “.
Unaweza kutazama video hii hapa:




Leave your comment