TANZANIA:Video ya "Bado" sasa ipo kitaani

Msanii anaekuja kwa kasi ya ajabu nchini Tanzania cha muziki wa Bongo Fleva Harmonizer ametoa video yake mpya inayotambulishwa kwa jina la 'Bado'. Baada ya Harmonize kutoa nyimbo yake hivi karibuni katika studio za Clouds Fm kupitia kipindi cha Leo Tena,ameachia tena video yake yenye muonekano wa hali ya juu.

Katika nyimbo hiyo Harmonize amemshirikisha Boss wake Diamond Platnumz ambaye kwa sasa ni msanii aneipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kwa nyimbo zake kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Afrika Mashariki.

Unaweza kutaza video hii hapa:

Leave your comment