TANZANIA: Kibao kipyaaaaa kitaani,'Njiwa'by Mulla ft Barnaba Classic.

Msanii chipukizi Mulla ametoa kibao chake kipya kiitwacho njiwa akimshirikisha msanii Barnaba Classic. Nyimbo hiyo ya Njiwa imetayarishwa na Emmanuel Maungu alimaarufu Ema the boy ndani ya studio za high table sound.

Unaweza sikiliza nyimbo hii hapa:

Leave your comment