TANZANIA: New Song toka kwa Dogo Janja wa Tip Top Connection “My Life”
26 February 2016

Rapper Dogo Janja baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu ameachia wimbo mpya uitwao ‘My Life’. Msanii huyo ambaye yupo chini ya management ya Tip Top Connection, hivi karibuni sauti yake ilivuja akiwa analalamikia uongozi wake kwa kutompa shows na kutoa nyimbo tangu arudi.
Hatimaye msanii huyo ameachia wimbo mpya unaohusiana na maisha kwa ujumla.
Karibu kuusikiliza hapa;




Leave your comment