TANZANIA: Tazama video mpya ya ‘Achana na Mimi’ yakwake Nzaya Don Ngosha ft Mirror

 

Msanii Nzaya Don Ngosha ameachia video wimbo wake mpya iitwayo ‘Achana na Mimi’. Wimbo umeandaliwa na Mr T- Touch wa Free Nation.

Video imetayarishwa na kuongozwa na Kwetu Studios. Wimbo huo unaongelea suala zima la usaliti katika mapenzi.

Tazama hapa video hiyo;

Leave your comment