TANZANIA: Navy kenzo "Lights up tour" jumapili hii Maisha Basement..
25 February 2016

Navy Kenzo hivi karibuni waliachia video yao mpya ya ‘kamatia’, na hivi sasa wamekujana tour walioipa jina la Lights up Tour. Ambapo wanaanzia Maisha Basement jumapili hii ya tarehe 28 februari kwa kiingilio cha 10000/= tu.
Navy Kenzo ni kundi linaloundwa na wasanii wawili Aika na Nahreel, ambao wanabamba na nyimbo kama Game,Chelewa, Moyoni na Viza na nyinginezo nyingi. Nyimbo ya kamatia ni nimbo iliyotokea kuwa gumzo mitaani kuanzia nyimbo yenyewe, beats, pamoja na video kiujumla..
Kwa kupitia ukurasa wao wa Instagram wamepost taarifa hii kwa mashabiki wao na kuandika; “kamaatachini mkamatie chini #lightuptour ni jumapili hii pale #maishabasement usikose kwasababu na wao hawataki kukukosa”





Leave your comment