TANZANIA: “Shikilia” video mpyaa kitaani ya Sultan King

 

 

Msanii Sultan King ametoa video ya nyimbo yake “Shikilia”, iliyofanywa na Kwetu Studios na kuongozwa na Msafiri Shabani. Nyimbo ya video hiyo ilitengenezwa Island Records, producer akiwa ni Aloneym.

Tazama video hii ya Shilikilia hapa chini;

Leave your comment