TANZANIA: Usipitwe na video hii mpya ya ‘Mama’ yakwao Yamoto Band ft Zena
23 February 2016

Kundi la Yamoto Band wameachia video mpya ya wimbo unaoenda kwa jina la ‘Mama’, ndani ya wimbo huo wamemshirikisha Zena. Video imeongozwa na Pablo.
Tangu enzi mama ni mtu muhimu sana, na amekuwa akiimbwa na kupata wasifu mkubwa toka kwa wasanii mbali mbali ikiwa ni njia ya kuonyesha kumthamini na kuwaheshimu wanawake.
Tazama video hiyo ya mama hapa;




Leave your comment