TANZANIA: New video toka kwake Shollo Mwamba ft Messen Selekta – Sembe Tembele

 

Msanii Shollo Mwamba ameachia video mpya iitwayo “Sembe Tembele” akiwa amemshirikisha Messeni Selekta. Wimbo huo wenye mahadhi ya Singeli zinazotamba hivi sasa uswahilini.

Video imefanywa na Maker's Entertainment na kuongozwa na Ivan.

Tazama hapa video hiyo;

 

Leave your comment