TANZANIA: Wema ayaandika haya baada ya kuharibika kwa ujauzito wake!

 

Mrembo toka kiwanda cha Bongo movie na aliyekuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu athibitisha kuharibika kwa ujauzito wake na kuthibitisha kuhusu suala hilo.

Taarifa hiyo ilianza kusambaa baada ya mpenzi wake Idris Sultan kuandika ujumbe kwa kupoteza watoto wake mapacha na waliokuwa tumboni bado.

Kupitia Instagram Wema Sepetu ameandika;

Mungu hutoa na hutwaa, pole sana Wema.

Leave your comment