TANZANIA: Sikiliza wimbo mpya wa P The Mc ft Jux- Na Mimi

Rapper P The Mc ameshirikiana na Juma Jux kuachia wimbo mpya uitwao ‘Na Mimi’.

Wimbo huo umesimamiwa na mkongwe wa muziki Tanzania, Prince Dully Sykes. Ndani ya wimbo huo umepambwa kwa sauti nzuri ya gitaa na production nzuri na kuufanya wimbo uwe katika kiwango kizuri kwa ajili yako kuusikiliza.

Sikiliza wimbo huo kupitia mdundo.com/song/47595

Leave your comment