TANZANIA: Nay adai anatoa nyimbo kuwafurahisha mashabiki zake!
17 February 2016

Rapper Nay Wa Mitego baada ya kufungiwa wimbo wake mpya na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), amesema anafanya nyimbo zinazowafurahisha mashabiki wake.

Akizungumza na 255 ya XXL ya Clouds FM Jumatatu hii, Nay alidai mashabiki wake wanapenda nyimbo zinazozungumzia mambo wazi wazi bila kuficha.

“Ilishawahi kutokea nilipotoa ngoma ‘Salamu Zao’ kuna baadhi ya washkaji zangu ambao nilikuwa nao karibu walinikimbia”, alisema Nay.

“Sijali mtu atanitenga kwakuwa nimeongea ukweli, ila nitaumia sana sana kama nikitengwa na mashabiki wangu. Sijawahi kupata vikwazo kama ninavyopata hivi sasa. Najua kwa wasanii hiki ninachoimba kinaonekana si sawa kwao, ila kwa mashabiki wangu ni sawa", aliongeza Nay.

Leave your comment