TANZANIA: Video Queen Jackie Cliff aandika barua ya wazi !

Ikiwa miaka miwili imepita tangu Video Queen, Jackie Cliff akamatwe kwenye uwanja wa ndege na kufungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la kujaribu kuingiza madawa ya kulevya. Mrembo huyo aandika barua ya wazi kwa watanzania akizungumzia mamb mbalimbali kuhusu maisha yake. Ndani yake amezungumzia watu wanampa sapoti katika kipindi hiki kigumu na kuwashukuru kwa kutomuacha na kumuombea, pia amekiri makosa yake na kujutia makosa yake.

Ambapo barua hiyo imesomwa kwa mara ya kwanza katika kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM Jumanne hii na mtangazaji wa kipindi hicho Millard Ayo.

Sikiliza hapa;

 

 

Leave your comment