TANZANIA: DJ D Ommy amekusogezea Valentine Heartfelf Mix Vol 3!

 

Dj wa Clouds FM, D Ommy ameachia Valentine Heartfelt Mix Volume 3.

“Kama utakumbuka mwaka jana ilitoka ‘ THE VALENTINE HEART FELT MIX vol 2’ sasa huu ni muendelezo wa mwaka uliopita yaani vol 3. N I mixing ya nyimbo kali za mapenzi kutoka katika kila kona ya dunia. Hii ikiwa ni maalumu kwa ajili ya wapendanao siku ya Valentine”, amesema DJ D Ommy.

“Ukiwa home, au njiani unarudi au unaenda kwenye mihangaiko, chuo, hostel, peke yako au na Baby number one wako au washkaji fanya tu kudownload na kuskiza Mixx hii. Nakuahidi hautojutia hasa katika wikiend hii ya Malavidavi”, ameongeza Dj.

Sikiliza mix hiyo hapa chini;

Leave your comment