Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: New video ya 'Relax Your Mind' toka kwa Mzungu Kichaa!
12 February 2016

Msanii wa muziki Mzungu Kichaa ameachia video mpya ya wimbo wake wa ‘Relax Your Mind’.
Kutokana na taarifa aliyoitoa kupitia press release alisema, “ilikuwa ni muhimu kwangu kupata muhamko kutokana na kufnya show za live band zilizpolekea kurecodi wimbo huo. Na nadhani tumeweza kufanikiwa katika suala hilo”.
Video ya Relax Your Mind imefanyika jijini Dar es salaam na kuwashirikisha kundi zima la Mzungu Kichaa na baadhi ya familia ya msanii huyo. Pia imeongozwa na Rita, muongoza picha Adam Juma na kuandaliwa na producer Louise Kamin. Pamoja Jessica Olsen kama designer.
Tazama video hiyo hapa chini;
Weekly Top 10 songs

omelette4:28
ONLY YOU JESUS5:44
Melody Ft Tunche the best3:20
Kupenda nishapenda zaani3:12
Nigina2:27
R.I.P Manu4:52
CHAMPION GAL3:00
Zabike2:50
Haipo Sawa (Feat. Don breezy)4:13
Wano Wano2:15
Top stories
- OXEN MUSIC
29 July
- Mytee boy - SURVIVE
28 July
- Abakuchinsali
29 July


Leave your comment