TANZANIA: Usipitwe na video hii mpya toka kwa ‘Oscar Classic – Akanana’

 

Msanii Ostar Slassic kutoka mkoani Morogoro, baada ya kufanya cover ya ‘Utaipenda’ ya Diamond Platnumz ametusogezea video yake mpya iitwayo ‘Akanana’. Video imeongozwa na Flex wa Urban Motion Films.

 Video hiyo imefanyika huko mkoani Morogoro na kuonyesha vyema vivutio vilivyopo katika mji huo kama milima na kijani kilichoenea katika mazingira ya mjini Moro.

Tazama hapa video hiyo ili ufurahie asili ya Mtanzania;

 

Leave your comment