TANZANIA: Tazama video mpya ya ‘Chunga Mzigo’ yakwake Lady Queen ft Enock Bella
11 February 2016

Msanii wa kike Lady Bee ameachia video yake mpya akiwa amemshirikisha Enock Bella kutoka Yamoto Band. Wimbo unaitwa ‘Chunga Mzigo’.
Wimbo umekuwa produced na Producer Shirko wa Yamato Band, huku video ikiwa imeongozwa Minzi Mims.
Mazingira pamoja na picha za video hii zinaonyesha uhalisia wa kitanzania huku picha ya kwanza ikimuonesha mrembo Lady Bee akishuka kwenye gari mtaani, tazama video nzima na uenjoy burudani hii tulokusogezea karibu yako.
Tazama hapa chini;




Leave your comment