TANZANIA: Bob Manecky awashirikisha Jux, Barakah Da Prince, Mavoko, Quick Rocka na wengineo kwenye album yake!
11 February 2016

Producer wa AM records, Bob Manecky ameachia album yake mpya yenye nyimbo 10 iitwayo Side B.
Ndani ya album hiyo imewashirikisha wasanii mbalimbali wakiwemo Jux, Rich Mavoko, Barakah Da Prince, Quick Rocka, Hemedi PHD, M Rap, Deddy, Miss Rizy, Gelly wa Rhymes na wengineo.
Album inapatikana kwenye mfumo wa CD.





Leave your comment