TANZANIA: Usipitwe na video hii mpya toka kwa Linex ‘Kwa Hela’

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Linex ameachia video ya wimbo wake aliouachia mwanzoni mwa mwaka huu 2016 ‘Kwa Hela’. Video imeongozwa na Hascana.

Msanii huyo pia katika interview zake za hivi karibuni alisema kuwa ‘hatofata mkumbo wa kushoot video nje ya nchi’, ambapo alisema angeifanya video hiyo Kilimanjaro na Arusha.

Tazama hapa video hiyo;

Leave your comment