TANZANIA: Mwana FA adai uongo na ubabaishaji umekithiri baada ya muziki kuwa dili!

Mwanamuziki wa Hip hop nchini, Mwana FA amesema aliandika wimbo wa ‘Asanteni Kwa Kuja’ ili kuwapa ujumbe wasanii wasio na vipaji kuwa muda wao umekwisha.

Akizungumza katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, alisema wasanii wengi wasio na vipaji waliingilia kwenye muziki baada ya kuona unalipa.

“Wasanii wengi waliingia kwenye game bila sababu sahihi, kwahiyo kuna ujanja ujanja mwingi, ubabaishaji umekithiri baada ya muziki kuwa dili. Kwahiyo kuna uongo uongo mwingi. Kwahiyo ni kama tunawashukuru kwakuja na tunawaambia hapa shughuli ipo, muda wao umeisha, ndio maana kunai le verse “Here comes the beat, here comes the beast, Mother I’m still the Best”, alisema FA.

Pia msanii huyo anatarajia kufanya remix ya wimbo wa Asanteni Kwa kuja akiwa na Fid Q na Professor J.

Leave your comment