TANZANIA: Tazama ‘Behind The Scene’ ya video ya ‘Kamatia’ yakwao Navy Kenzo
8 February 2016

Zaidi ya wiki mbili zimepita tangu kundi la Navy Kenzo walipoachia video yao mpya ya ‘Kamatia’. Ikiwa ni video yao ya pili kubwa tangu ile ya ‘Game’ zote zikiwa zimefanyika Afrika Kusini na kuongozwa na Justin Campos.
Kamatia ni kati ya video bora za wasanii wa Tanzania zilizoachiwa mwaka huu wa 2016.
Navy Kenzo inaundwa na Nahreel pamoja na girlfriend wake Aika, wameachia video ya ‘Behind The Scene’ inayoonyesha jinsi ilivyokuwa wakati wa kushoot video hiyo ya ‘Kamatia’.
Tazama hapa ‘BTS’ ya Kamatia;
Na hapa tumekusogezea video ya 'Kamatia' yenyewe, Enjoy!




Leave your comment